
Hicho ni kituo cha Polisi kilicho Mto Wami kwa ajili ya usalama eneo hilo la mto na maeneo jirani kikiwa Pembeni ya Barabara iendayo mikoa Ya kaskazini mwa nchi na nchi jirani.
Mto huo umeanzania katika Milima ya Uluguru.


Taswira toka kwa mdau aliesafarini kulekea Mkoa wa Kilimanjaro zikionyesha mandhari baada ya kumaliza kilima cha mto Wami ukielekea Segera.
Picha na Mdau wa Rundugai Blog aliesafarini.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Thursday, June 28, 2012
Post a Comment