
Ni Stendi ya mabasi Wilaya ya Same kama ilipigwa na mdau wa Rundugai Blog aliyesafarini kuelekea Moshi.Mabasi yakishusha na kupakiza abiria huku wafanyabiashara ndogondogo wakitafuta wateja ili kuweza kuuza bidhaa walizo nazo.Hiyo ndio Same Bus Stand kama uonavyo vilima kwa mbaaliii Kule.
Post a Comment