
Katikati ni aliyekuwa waziri wa mawasiliano na miundombinu Hamad Masoud Hamad

Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu mjini Zanzibar, Hamad Masoud amejiuzulu wadhifa wake baada ya kuwepo kwa shinikizo la kuachia ngazi lilitoka kwa wananchi.
Hatua hii imekuja kufuatia madai ya wananchi kuwa ajali za meli zimekuwa zikiongezeka mjini Zanzibar bila yeye kuchukua hatua.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Tuesday, July 24, 2012
Post a Comment