Hivi ndivyo misitu inavyopukutika kila siku.Huoni mkaa ukisubiria wateja pembezoni mwa barabara ya kuelekea Mto Wami.Mkaa huoni matokeo ya ukataji miti ili waweze kuichoma na kupata mkaa huo hali inayozidisha au kuchochea kuteketea misitu ya asili na kukaribisha hali ya jangwa maeneo hayo.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment