Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Chemchemi ya Chemka

Hii ni mojawapo ya vivutio vya utalii ambavyo havijatangazwa sana na kuwavutia watalii wengi.Ni Maji ya chemchemi ambayo ni yana uvuguvugu muda wote ni watalii wachache sana wanao kuja eneo hilo nje kidogo ya Kijiji cha Ngulu,wilaya ya Hai,Mkoa wa Kilimanjaro.Mida ya jioni baada ya shughuli zao za kutwa nzima vijana wa ngulu huja hapa na kuogolea. Panaitwa Chemka.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top