Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Daladala Time jana jioni


Ndani ya daladala kamera yetu kama ilivyo ada tulikutana na kondakta huyu yeye alikuwa hajavaa shati lake la sare ila alipomuona askari usalama barabarani kwa mbele haraka sanaalilitafuta lililoko na kuanza kulivaa kama umuonavyo akivaa huku akiwachungulia waliko.Ni kama mchezo wa paka na panya.Hiyo ni Msasani- Gongo la Mboto a.k.a Gomzz kama waitavyo wenyeji.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top