Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo, Jumapili, Julai 22, kinatarajiwa kuutikisa mkoa wa Kigoma, kwa mkutano wake mkubwa wa hadhara, utakaofanyika kwenye Viwanja vya Communicy Cetre mjini Mwanga mkoani hapa.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye

Ofisi za CCM Mkoa wa Kigoma zilizopo Mwanga

Maandalizi ya Jukwaa yakiwa hatua za mwisho hiyo jana

Bendera zikiwa zimewekwa katika uwanja wa Community Centre utakao fanyika mkutano huo leo huko Mkoa wa Kigoma.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Siasa
on Sunday, July 22, 2012
Post a Comment