
Mgeni Rasmi ,Naibu Waziri wa elimu, Philipo Mulugo akiashiria kuzinduliwa rasmi kwa albamu hiyo ya Masanja katika Uwanja wa Samora,Iringa

JB akiongea katika ufunguzi wa Albamu hiyo Masanja katika uwanja wa Samora iringa

Wolper nae akionyesha madaha yake

Kama kawaida ya Masanja Mkandamizaji vibweka havikosekani

'Afande' macho yoteeeee mbeleeee........................

Masanja mwenye wingi wa tabasamu alipokuwa anaimba katika Uwanja wa Samora Iirnga leo.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Sunday, July 15, 2012
Post a Comment