Wanafunzi wa shule ya msingi Makuburi manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,  wakiwa  wameuchapa usingizi baada ya kuchoka kuwasubiri walimu kuja kufundisha bila mafanikio, wiki iliyopita Chama cha Walimu  CWT kilitangaza kuwa leo jumatatu walimu wa shule za Sekondari na Msingi  wangeanza mgomo nchi nzima kutokana na kutofikia muafaka kwa madai yao  dhidi ya Serikali.
  Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mabibo iliyopo wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam wakiwa wamelala baada ya kuchoka kuwasubiri walimu kuja kuwafundisha madarasani .
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
 
 (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)


 
 
 
 
 
 
 
 
 
Post a Comment