Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Taswira Mbalimbali Za Jinsi Tume ya Mabadiliko ya Katiba Ilivyoanza Kazi Mkoa wa Kusini Unguja, Katika Vijiji vya Mzuri na Mtende

Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania Balozi Salim Ahmed Salim. akibadilishana mawazo na Wazee wa Kijiji cha Mzuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja, baada ya kumalizika kwa utowaji wa maoni kwa Wananchi wa Kijiji hicho.
Wananchi wa Kijiji cha Mzuri Makunduchi wakiwa katika viwanja vya Mwenge wakishiriki kutowa maoni yao wakisikiliza maoni ya Wananchi mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania.iliyofika katika kijiji hicho kukusanya maoni ya Wananchi.
Mwananchi wa Kijiji cha Mtende Makunduchi Aziza Mcha, akikabidhi barua yake yenye maoni yake kwa Mwenyekiti wa Mkutano wa kutowa maoni ya mabadiliko ya Katiba ya Tanzania Mohammed Yussuf Mshamba, wakati tume hiyo ilipofika katika Wilaya ya Kusini Unguja kukusanya maoni ya Wananchi kuhusu Katiba, mkutano huo umefanyika katika viwanja vya Skuli ya Mtende.
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania wakifuatilia maoni ya Wananchi wa Kijiji cha Mzuri wakiyatowa mbele ya Tume hiyo ilioanza kazi yake jana katika Wilaya ya Kusini Unguja Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Balozi Salim Ahmed Salim, akizungumza kuhusiana na utoaji wa maoni ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania katika mkutano huo uliofanyika viwanja vya Mtende.
Kipeperushi cha Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Picha na Haki Ngowi Blog.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top