Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Tuhuma za Meli za Iran kupeperusha Bendera ya Tanzania Serikali Kutoa Msimamo wake Alhamisi Asubuhi

Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh,Bernard Membe,kupitia ukurasa wake wa Twitter anasema...

Alhamisi asubuhi nitatoa msimamo wa Tanzania kuhusu tuhuma za vyombo vya habari kuwa meli za Iran zinapeperusha bendera ya Tanzania.
.....................................

Hatua hii ni Kufuatia kutuhumiwa kwa Tanzania kuruhusu meli ya Iran inayojulikana kwa jina la NITC(NATIONAL Iranian Tanker Company) kupeperusha bendera ya Tanzania habari ambazo zimezagaa na kujadiliwa mno katika mitandao ya kijamii(soma hapa).
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top