Balozi Profesa Mahalu akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kushinda kesi yake katika mahakama ya kisutu leo. 
  Waandishi
  wa habari wakimfuata Balozi Profesa Mahalu akiwa pamoja na Mdogo wake 
 Mirasi Rama wakitoka nje ya Mahakama ya Kisutu Mchana huu mara baada ya
  kushinda kesi iliyokuwa ikimkabili akidaiwa kununua nyumba ya Ubalozi 
wa  Tanzania nchini Italia, Akisoma hukumu iliyosomwa  kuanzia Saa sita 
leo  na  Hakimu Mfawidhi mkazi wa mahakama ya Kisutu Mh. Ilivin Mugeta  
imemtoa Balozi Profesa Mahalu katika hatia na kumwachia  huru

Wakili
 wa Balozi Profesa Mahalu Bw. Alex  Mgongolwa akizungumza na waandishi 
wa habari mara baada ya mteja wake  kushinda kesili iliyokuwa ikimkabili
 kwenye mahakama ya Kisutu jijini  Dar es salaam.

Balozi
  Profesa Mahalu katikati akitoka nje ya mahaka ya Kisutu huku akiwa  
ameongozana na mdogo wake Mirasi Rama kulia ni Wakili wa kujitegemea  
Mabere Nyaucho Marando.
 PICHA NA  FULLSHANGWEBLOG
 
Post a Comment