Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

CHADEMA YAJA KIVINGINE

 Huku wakiendelea na mikutano ya vuguvugu la mabadiliko M4C katika Mkoa wa morogoro   
na maeneo mengine ya nchi makamanda wake wakiendelea kufungua matawi CHADEMA  kimekuwa moto mkoani Morogoro pale Mkutano wa DC uliposambaratika kutokana na kukosa watu wa kuhutubia hivyo kuamua kuuvunja mkutano huo. 

Pia katika hatua nyingine wanachama wa CHADEMA wenye kuhitaji bidhaa za chama hicho kufanya hivyo ili kukipa uhai chama hicho.

 Kwa mahitaji yako ya Bidhaa mbalimbali za Chadema kama Nguo, Tai, Suruali, Magwanda na Bidhaa nyinginezo zinazohusiana na Chadema. Tafadhali wasiliana na Makamanda wanaoonekana hapo Chini. namba zao ni 0715-544444 na 0767037010.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top