Mkuu
wa wilaya ya Nkasi , Mhe.Idd Kimanta alijikuta akiangua kilio kwa uchungu kutokana na utendaji usiofaa wa Mkurugenzi na wakuu wa idara ya
halmashauri hiyo mbele ya baraza la madiwani mjini Namanyere.
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Nkasi Bi Saada
Mwaruka(kushoto) akiwa kwenye Kikao hicho pembeni mwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi ambae alisikitishwa mno na utendaji wa Halmashauri hiyo ya Wilaya.
(Picha
zote na Walter Mguluchuma)
1 comments:
Uongozi Bora CCM Hoyeeee!!
ReplyPost a Comment