Wakiwa wanaelekea kuchota maji kutokana na kutokuwa na maji kwenye makazi yao kina dada hao wamepakizana katika mtindo maarufu sana kwa kina dada pale wanapokuwa wanatumia usafiri huu maarufu kama ''injini kiuno'' kwani shida huleta maarifa.Mwanadada ananyoga pedeli bila wasiwasi kama alivyokutwa na Rundugai Blog Mji kasoro Bahari.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
1 comments:
CCM Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Mambo ya maji hayo na hawa mungu kawajalia wana gari!
ReplyPost a Comment