Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

KOFIA MBAYA MUUZA KARANGA MAARUFU LUGALO SEKONDARI-IRINGA

 
Ofisi ya Mjengwa Blog ya mkoani iringa leo imetembelewa na mfanyabiashara wa karanga maarufu mkoani hapa ambaye hujulikana kwa jina la Kofia mbaya(Bad Cap) kwa mnaomkumbuka mnamzungumziaje mzee huyu ambaye anasema amefanya kazi hii kwa miaka mingi sasa na imemfanya aishi maisha ya kawaida yaani awe na uhakika wa kula na shemu nzuri ya kuishi.
....................
Shukrani kwa Mjengwa Blog kwa picha hii ni wengi sana walipata huduma ya karanga kupitia Mzee Kofia Mbaya kuanzia Lugalo Sekondari Miaka ya Tisini jina hilo lilikuwa haliishi midomoni mwa Wanafunzi.
Je kuna wengine wanajua mwaka/muda alioanza kuuza Karanga Mzee Kofia Mbaya ? 
Kofia Mbayaa Salamu Kwako Mzee wetu.
 
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top