(Picha na Edwin Mjwahuzi)
................................................
Kuelekea uchaguzi Mkuu mwaka 2015 vijembe vinakolea kila kukicha kila chama kikijinasibu na kila mwanachama wa chama husika akionyesha umahiri wake hii yote ni kuelekea 2015 ni mengi tutayaona ukizingatia alie pale magogoni kwa sasa yeye hatagombea tena muda wake umefikia ukomo.Sasa kila mmoja wetu anatamani sana kukaa magogoni.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Sitta yeye anasema kuwa katika CHADEMA tishio ni Dk.Slaa tu pale wengine mmmh !!.
Je Unakubaliana na kauli hiii ya Mheshimiwa Waziri ?
Post a Comment