Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAHAKAMA YATENGUA UBUNGE WA Dk Peter Kafumu JIMBO LA IGUNGA

Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imetoa hukumu ya kesi ya ubunge iliyokuwa ikimkabili mshindi wa ubunge jimbo la Igunga Dk Peter Kafumu (CCM).Hukumu hiyo ya kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Dk Kafumu imetolewa leo ambapo imemuengua mbunge huyo katika nafasi yake ya ubunge

Shauri hilo lilifunguliwa na mlalamikaji Joseph Kashindye dhidi ya Dk Kafumu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na msimamizi wa uchaguzi.
Uchaguzi huo uligubikwa na kulaumiana kati vyama vilivyokuwa vinashiriki uchaguzi huo kuwa vinahujumiana hususani CCM na CHADEMA  ambapo jeuri ya na pesa vilitawala uchaguzi huo


Pia kijana mmoja mwanachama wa CCM alimwagiwa tindikali wakati
wa kampeni hizo za uchaguzi huo mdogo wa Jimbo la Uchaguzi kutokana na kujiuzulu kwa aliyekuwa Mbunge wake Bwana Rostam Azizi katika mtindo wa kujivua gamba.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top