Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mtaa wa katikati ya jiji DSM yafungwa kwa muda kutokana na mapigano(VIDEO)

Jeshi la polisi jana lilifunga mitaa ya katikati ya jiji la Dar es Salaam kutokana na mapigano makali kati ya kundi la vijana waliokuwa wakipinga kubomolewa kwa nyumba na waliodai kuwa na hatimiliki ya nyumba hiyo ambapo watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya na wengine wanashikiliwa na polisi.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top