Tatizo lingine ni Elimu duni ya fedha inayowagharimu wanaokopa mikopo benki hivyo kufikia wao kufunga maduka yao kama alivyofanya huyo pichani juu.
Pamoja na vijana wengi kuwa wabunifu lakini bado tatizo la ajira linazidi kuwa kubwa.Serikali imekuwa kwenye juhudi kubwa kuweza kuwasaidia vijana kuweza kujiajiri wenyewe kwa kuamua Ujasiriamali kuingizwa kwenye mtaala waElimu.
MKUTANO wa mwaka wa 47 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB),
uliofanyika jijini Arusha Juni 2, mwaka huu na moja kati ya hoja kubwa
zilizotawala ni tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana barani Afrika.
Post a Comment