Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MWINYI, MKAPA WAFUTURU NYUMBANI KWA BALOZI SEFUE


Rais Mstaafu awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo na viongozi mbali mbali akiwemo Rais Mstaafu awamu ya Tatu Mhe. Benjamim William Mkapa (kushoto),Jaji Mkuu Othman Chande (wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sadik Meck Sadik (watatu kushoto) pamoja na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue jana jioni wakati wa futari iliyoandaliwa nyumbani kwa Balozi Sefue jijini Dar es Salaam kwa ajili ya viongozi mbalimbali serikalini.
(picha na Freddy Maro).
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top