Pichani ni maeneo ya Kinondoni B ambapo tayari kampuni inayofanya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi wakiwa wameshaondoa nyasi na udongo wa katikati katika Barabara ya Kawawa.Ujenzi huo umeanza vizuri maeneo ya barabara ya Morogoro huku wakiwa wameanza kujenga baadhi ya vituo maeneo ya Manzese kuelekea Jangwani.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment