Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Rais Dk. Shein akutana na Mabalozi wa Korea na Denmark Ikulu zanzinbar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Korea Nchini Tanzania,Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Korea Nchini Tanzania,Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Denmark Nchini Tanzania, Johnny Flento,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kwa mazungumzo na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Denmark Nchini Tanzania, Johnny Flento,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kwa mazungumzo na Rais.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top