Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

UJENZI WA BARABARA WASHIKA KASI WILAYA YA MUFINDI,IRINGA

Barabara ya Mafinga Kibao wilayani Mufindi ikitengenezwa sasa japo kuna tetesi kuwa Rais Kikwete anategemewa kufanya ziara katika wilaya hiyo kwa ajili ya kuzindua mradi wa umeme maeneo ya unaofadhiliwa EU katika eneo la Mwenga
Ujenzi wa Barabara nchini umeshika kasi hii ni katika kuziunganisha sehemu mbalimbali nchini ili ziweze kupitika kwa urahisi katika kipindi chote cha mwaka.Mkoa wa Iringa nao hauko nyuma katika kuunganisha sehemu za vijijini na Wilayani.Ubovu wa barabara unaaminika kuchangia kupanda kwa gharama za vitu mbalimbali nchini husasani vyakula.
Huku sehemu nyingine hulalamikia ujenzi wa barabara kutokana na makosa ya ukataji wa mabomba ya maji sehemu ya ujenzi.

Picha na Mzee wa Matukio Daima
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top