| BOLT AKIVUKA MSTARI NA KUSHINDA |
| USAIN BOLT AKIMALIZA MBIO NA KUSHINDA |
| USAIN BOLT AKIONYESHA POZI YAKE MAARUFU YA 'RADI' (LIGHTNING BOLT) BAADA YA KUSHINDA |
| USAIN BOLT AKIWEKA POZI YAKE BAADA YA KUSHINDA |
| USAIN BOLT AKIINAMISHA KICHWA ARHDINI BAADA YA KUSHINDA |
| USAIN BOLT NA YOHAN BLAKE WAKISHANGILIA NA MASHABIKI |
| USAIN BOLT AKIWA NA MDOLI (MASCOT) WA OLIMPIKI |
| USAIN BOLT HAKUANZA VIZURI SANA KWENYE MSTARI (LANE) WA SABA LAKINI AKAMUDU KUSHINDA KWA KISHINDO |
| BINADAMU WENYE KASI KULIKO WOTE DUNIANI |
| NI USAIN BOLT TENA |
| USAIN BOLT AKIMALIZA MBIO KWA KISHINDO |
| BINADAMU MWENYE KASI ZAIDI USAIN BOLT AKIWEKA REKODI MPYA YA OLIMPIKI HUKU PATNA WAKE WA MAZOEZI , MJAMAIKA YOHAN BLAKE (WA TATU KULIA) AKISHIKA NAFASI YA PILI NA MMAREKANI JUSTIN GATLIN (WA TATU KUSHOTO) AKISHIKA NAFASI YA TATU |
| USAIN BOLT AKIWEKA REKODI MPYA |
| MATOKEO |
| MWANARIADHA WA MAREKANI JUSTIN GATLIN ALIYESHIKA NAFASI YA TATU AKIMWANGALIA USAIN BOLT |
| USAIN BOLT AKIPITA PEMBENI YA 'MWENGE WA OLIMPIKI' BAADA YA KUSHINDA MBIO ZA MITA 1OO WANAUME |
| MWANARIADHA WA JAMAIKA ASAFA POWEEL AKIWA AMESHIKA TAMA BAADA YA KUMALIZA WA MWISHO KUFUATIA MATATIZO YA MISULI |
| MASHABIKI KATIKA KITONGOJI CHA BRIXTON JIJINI LONDON WAKISHANGILIA USHINDI WA USAIN BOLT |
| MASHABIKI WAKISHANGILIA KWENYE UWANJA WA O2 HUKU WAKIONYESHA POZI YA USAIN BOLT |
| DUKE NA DUCHESS WA CAMBRIDGE NA PRINCE HARRY WAKIWA NA 'WAZIRI' WA UTAMADUNI JEREMY HUNT (NYUMA YA DUKE) |
| DUKE NA DUCHESS WA CAMBRIDGE (PRINCE WILLIAM NA MKEWE KATE MIDDLETON-WA KWANZA NA WA PILI KUSHOTO) WAKIFUATILIA KASI YA USAIN BOLT HUKU PRINCE HARRY AKIWA AMEJITUNDIKA BENDERA YA JAMAIKA |
| YOHAN BLAKE, PATNA WA MAZOEZI WA USAIN BOLT ALIKUWA AKITARAJIA KUTOA UPINZANI MKALI LAKINI AKAISHIA KUWA WA PILI |
| USAIN BOLT AKIFANYWA MBWEMBWE KABLA YA MCHUANO |
| JUMUIYA YA WAJAMAIKA KATIKA KITONGOJI CHA BRIXTON,JIJINI LONDON WAKIFUATILIA USHIRIKI WA WANARIADHA WAO Via Chahali |
Post a Comment