Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

VIBOKO WAKIOGELEA HUKO MBUGA ZA WANYAMA KATAVI

Viboko wakipata burudani kwenye swimming pool yao, katika hifadhi ya taifa ya Katavi.
 
Mbuga hizo za wanyama Katavi zina eneo la Kilometa za mraba 4,471,ni moja kati ya mbuga kubwa nchini ikishika nafasi ya tatu kwa ukubwa nchini na iko kusini magharibi mwa nchi.
 Wanyama wengi katika mbuga hizo ni Viboko na mamba,Tembo,Nyati,Twiga,Pundamilia na aina nyingine za wanyama.



Mbunga za wanyama nchini ni moja ya vyanzo vikuu vya fedha za kigeni nchini na vimekuwa vikichagizwa kupunguza umaskini kutokana na uingizaji wa fedha nyingi nchini.


Pamoja na uingizaji mwingi wa fedha za kigeni wanyama  katika mbuga za wanyama wamekuwa wakiwindwa na majangili ambao wanatishia uhai wa Wanyama hao pamoja na wa watalii wanaokuja kutalii nchini.

Kwa taarifa mbalimbali za kiutalii nchini waweza tembelea tovuti ya Bodi ya utalii nchini.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top