Sehemu hii ndio chanzo kikuu cha maji yanayotiririka toka vilima hivyo na kutumika na wakazi wa mji wa Morogoro kwa matumizi mbalimbali .Maji yanayotiririka toka hapo na kutengeneza mto Ruvu.
Katika Vilima vya Uluguru kuna zaidi ya aina 100 za Mimea,
Mji wa Morogoro ukionekana kwa mbali huku ukiwa umezungukwa na vilima vya Uluguru vinavyopendezesha mandhari nzima ya eneo hilo.
Post a Comment