Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

ADHA YA USAFIRI DAR ASUBUHI YA LEO

Adha ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam imeendelea kuwatesa wakazi wake eneo la Tabata Mwananchi tulishuhudia idadi kubwa ya abiria wakisubiria daladala ambazo zilikuwa chache.Hivyo lile lililokuwa linakuja hali ilikuwa mwenye nguvu mpishe Pia maeneo ya Tabata Segerea adha nayo ilikuwa ni kubwa ukizingati siku kama ya Ijumaa huwa na idadi ndogo ya abiria lakini pia nako daladala zilikuwa na kugombania.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top