Muda ukiwa unayoyoma ndivyo daladala zinapojitahidi kuvunja sheria hiyo yote ni katika kuweka mambo sawa yaani kuweza kupata salio la mwenye gari na posho yao ya siku.Hivyo wao inafikia muda sheria za barabarani si kitu kwao bora kuwahi mwishowe ''wanapigana pini''(misemo inayotawala ndani ya daladala akiwa na maana ya kumzuia asipite kabla yake) ili yeye awahi abiria kituo kinachofuata pale anapokuwa kesha ''vurugwa''.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.

Post a Comment