Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MBUNGE WA KINONDONI MHE.IDD AZZAN ASHIRIKI MAONYESHO CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA


 Mbunge wa Kinondoni Mhe.Idd Azzan ambae alikuwa mgeni rasmi katika maonyesho ya Kitengo cha Elimu ya Teknolojia ,Chuo Kikuu Huria cha Tanzania akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Prof.Tolly Mbwete(wa pili kutoka kushoto) ikiwa ni mfululizo wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania iliyofanyika katika kituo cha Kinondoni.














Mhe.Idd Azzan alitembelea na kuangalia kazi mbalimbali zinazofanywa na kitengo cha Elimu ya Teknolojia ili kujionea mwenyewe namna kitengo hicho kinavyotoa mafunzo mbalimbali katika kuisaidia jamii ili iweze kukabiliana na changamoto zinazoikabili.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top