Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

ZOEZI LA SENSA KUISHA TAREHE 8 SEEPTEMBA 2012


Kamishna wa Sensa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)  Hajjat Amina Mrisho Said akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu zoezi la Sensa ya watu na makazi 2012  linaloendelea nchi nzima na kutoa wito kwa wananchi ambao bado hawajahesabiwa kutoa taarifa kwa viongozi wa serikali za mitaa.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top