RUFAA ya kupinga kuvuliwa ubunge wa aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini,
Godbless Lema (CHADEMA), imesikilizwa leo na jopo la majaji watatu wa
Mahakama ya Rufaa, wakiongozwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande,
na kisha kuahirishwa hadi siku ambayo itatangazwa baadae
Baadhi
ya wananchi waliokusanyika nje ya ofisi za Chadema Mkoa wa Arusha, eneo
la Ngarenaro wakimsikiliza Mh Godbless Lema haonekeni pichani mara
baada ya kutoka Mahakamani kusikiliza shauri lake kupinga kuvuliwa
ubunge. Picha hii ni taswira nusu ya kwanza ya watu
Mh Lema akizungumza kuagana na wananchi waliokuwa nae Mahakamani, mbele ya ofisi za chama hicho muda mfupi uliopitaHii ni nusu nyingine ya taswira halizi za wananchi waliofika ofisini hapo
Shamrashamra barabarani wakitoka Mahakamani hii leo
Chanzo:Noise of Silence
Post a Comment