Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

FRANK LAMPARD NA ASHLEY COLE ZAMA ZAO CHELSEA ZAFIKIA UKOMO


Klabu ya Chelsea itawaacha wachezaji mahiri wawili Frank Lampard na Ashley Cole ifikapo mwishoni mwa msimu huu,hiyo imefahamika baada ya Kocha Mpya Rafa Benitez kufanya mazungumzo na waandishi wa habari na kutabainisha kuwa anataka kujenga timu ya ushindi.

Wachezaji hao wawili mikataba yao inafikia kikomo mwisho wa msimu hivyo kocha huyo mpya ametabainisha kuwa hawatakuwepo baada msimu kuisha Klabuni hapo.

Lampard ni mchezaji wa tatu Klabuni hapo ambae amefunga magoli mengi huku akiwa ameweza kushindia Kombe la Barclays Premier League mara tatu,FA mataji manne na Kombe la Ligi ya Mabingwa wa Ulaya ndani ya Miaka 11 aliyodumu Klabuni hapo.
  Ashley Cole ataruhusiwa kuondoka Chelsea mwishoni mwa Msimu.

Cole ambae alijiunga na mabingwa hao wa Ulaya akitokea Arsenal miaka 6 iliyopita ameshinda Barclays Premier League,Taji la FA mara nne na Ubingwa wa Vilabu Bingwa vya Ulaya.

Alipoulizwa kama huo ndio mwisho wa wachezaji hao Benitez alisema'Natumaini,hicho ndicho kitakacho tokea'
'Nipo hapa kwa miezi saba tu.Kama itakuwa miaka 2 au 3 basi naweza kuwa na ushawishi'

'Wakati mwingine unakuwa na wakati mgumu kama meneja unakuwa na vitu vingi vya kufanyia maamuzi kwa hiyo ni vizuri kuwa na mkurugenzi wa ufundi'

 Frank Lampard akiwa na wanawe Uwanjani mwishoni mwa msimu ataondoka Klabu hiyo ya Chelsea
 Rafa Benitez ataendelea kuwatumia wachezaji hao mpaka mwishoni mwa 
msimu.

 Maelezo hayo ya Benitez ambae alikutana na Mkurugenzi wa Ufundi Michael Emenalo na kula chakula chajioni na mmiliki wa Klabu hiyo Roman Abramovich jioni ya Jumanne ni kuwa Chelsea inajipanga upya.

Aliongeza kuwa 'Nilikaa na mmiliki wa klabu kwa masaa 2au 3 hivi ,tumuongea kila kitu.Anajua dhamira yangu,japo hatukuwa na muda wa kutosha lakini nafikiri tutakaa zaidi huko mbeleni'

'Kama unajiamini na kujieleza mwenyewe kila mtu atakuelewa.Namuona ni mtu mzuri.Unaweza kuongea nae na kukuelewa .Anapenda kuona ukiwa na dhamira ya wazi.
Michael Emenalo and met owner Roman Abramovich for dinner on Thursday evening as Chelsea take a new direction.

Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2237633/Frank-Lampard-Ashley-Cole-leave-says-Rafa-Benitez.html#ixzz2D7NrZt2o
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
Ujio wa Rafa Benitez Chelsea huenda ukawa muarobaini wa ukame wa magoli unaomkabili Torres,ambae aliwahi kumfundisha wakati akiwa Liverpool.Benitez anataka kuiboresha timu nzima sio Torres tu.  

Chanzo:Daily Mail
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top