|
Hii ndiyo nguzo iliyogonwa na gari hiyo mali ya vodacom Ajali
hii imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya barabara ya mbalizi
kuelekea mabatini Gari hiyo mali ya kampuni ya simu vodacom iliporamia
nguzo ya taa za barabarani na dereva wake amejulikana kwa jina moja tu
Karinga ambae ameumia kidogo chanzo cha ajali mpaka sasa hakijajulikana.Picha na Mbeya Yetu Blog. | | | | |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Saturday, November 24, 2012
Post a Comment