Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi
katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa mpira mjini Geita, akiwa
katika ziara ya mikoa minne kwa ajili kujitambulisha kama Katibu Mkuu
mpya, kukagua uhai wa chama. Katika ziara hiyo, Kinana ambaye juzi
alikuwa Mtwara, jana akawa Rukwa na leo mkoani Geita, kesho atamaliza
ziara yake mkoani Arusha.
Picha na Daily Nkoromo
Post a Comment