Katibu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Ndugu Edward Lowassa. Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto ni Ktb wa CCM Arusha, Ndugu Mary Chatanda
Kinana
akiwa na zana za jadi alizokabidhiwa kwa heshima yake na wazee wa Meru,
katika Mkutano wa CCM uliofanyika Usa River, Arusha leo
Mzee
Wilson Meng'atu akimvisha vazi la heshima Nape Nnauye kama ishara ya
wazee wa Kimeru kutambua upambanaji wake katika kujenga Chama, wakati wa
mkutano wa Usa River, Arusha leo
Wazee
wa Kimeru wakimvisha jazi la jadi, katibu wa NEC Oganaizesheni, Mohamed
Seif Khatib kumpongeza kushika nafasi hiyo ya kujenga uhai wa Chama,
kwenye mkutano wa CCM Usa River, Arusha
Wazee wa Kimeru wakimvisha Mzee Steven Wassira vazi la jadi kuheshimu mapambano yake katika ujenzi wa Chama
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akisalimiana na Ndugu
Edward Lowassa Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto Ktb wa CCM mkoa wa
Arusha Ndugu Mary Chatanda.
Bodaboda zikiongoza msafara wa Ndugu Kinana, kutoka Uwanja wa Ndege wa Arusha
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akifungua shina la wakereketwa wajasiriamali wa CCM la Nguruma, Arumeru, Arusha leo
Ngoma wa Kimasai, mkutano wa Meru, Arusha leo.
Ndugu Kinana akisalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa Usa River kuhutubia mkutano wa hadhara.
Ndugu Nape Nnauye akizungumza jambo na Ndugu Edward Lowassa kwenye mkutano wa Ndugu Kinana uliofanyika Usa River, Arusha
Baadhi ya vijana 150 wa Chadema waliohamia CCM wakionyesha kadi za Chadema , wakati wa mkutano wa Usa River leo
Wazee
wa Kimeru, wakimkabidhi vitendea kazi vya jadi, Katibu Mkuu wa CCM,
Kinana katika mkutano uliofanyika Usa River, Arusha. Anayemkabidhi ni
Ezrom Sumari
Katibu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiunguruma uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha leo
Picha na Michuzi Blog
Post a Comment