DK 87:Rafael anaokoa mpira kwenye mstari hivyo matokeo bado ni Man U 3-1 QPR
DK 85 Manchester UNITED wakiwa wanautawala mchezo kwa asilimia 61 kwa 39 za QPR
DK 78 Anaingia Powell kuchukua nafasi ya Welbeck
Gooolii DK 71 Javier Hernandez
Goooliii kwa Man United linafungwa na Fletcher kwa kichwa kutoka mpira wa kona DK 68
Gooliii DK 63 Evans anaisawazishia Man U goli kwa mpira wa kichwa ikiwa ni mpira wa kona
Kieron Dyer anashindwa kuitumia nafasi nzuri nakupiga shuti lililotoka nje kidogo ya goli
Mabadiliko kwa Man United anaingia Javier Hernandez na Anderson kuchukua nafasi ya Ashley Young na Paul Scholes
GOLIIII DK 52 QPR wanapata goli hapa likifungwa na Jamie Mackie
DK 47:Milango bado migumu pande zote
Manchester United wameshinda mechi 19 kati ya 21 za BPL wakicheza nyumbani.
HT: Man United 0-0 QPRDK 85 Manchester UNITED wakiwa wanautawala mchezo kwa asilimia 61 kwa 39 za QPR
DK 78 Anaingia Powell kuchukua nafasi ya Welbeck
Gooolii DK 71 Javier Hernandez
Goooliii kwa Man United linafungwa na Fletcher kwa kichwa kutoka mpira wa kona DK 68
Gooliii DK 63 Evans anaisawazishia Man U goli kwa mpira wa kichwa ikiwa ni mpira wa kona
Kieron Dyer anashindwa kuitumia nafasi nzuri nakupiga shuti lililotoka nje kidogo ya goli
Mabadiliko kwa Man United anaingia Javier Hernandez na Anderson kuchukua nafasi ya Ashley Young na Paul Scholes
GOLIIII DK 52 QPR wanapata goli hapa likifungwa na Jamie Mackie
DK 47:Milango bado migumu pande zote
Manchester United wameshinda mechi 19 kati ya 21 za BPL wakicheza nyumbani.
DK 33'Wanapata kona Man U lakini inaondolewa kwenye hatari
DK32: Bado ni MANCHESTER UNITED 0-0 QPR ,huku Man U wakijitahidi kulishambulia lango la QPR kila wakati lakini milango imekuwa migumu
DK 26:Young anapata pasi safi lakini anashindwa kutia mpira kwenye kamba
DK21:MANCHESTER UNITED 0-0 QPR
DK 18:Kona kwa Man United lakini wanashindwa itumia vizuri
DK 15:Van Persie anakosa goli
DK 11:Mechi bado bila bila
DK 6 QPR wanapata kona butu
Man Utd:
Lindegaard, Da Silva, Evans,
Ferdinand, Evra, Young, Fletcher, Scholes, Rooney, Welbeck, Van Persie.
Subs: De Gea, Jones, Anderson, Smalling, Hernandez, Cleverley, Powell.
QPR:
Julio Cesar, Hill, Nelsen, Mbia, Traore, Derry, Faurlin, Mackie,
Taarabt, Dyer, Cisse. Subs: Green, Diakite, Ferdinand, Wright-Phillips,
Granero, Ephraim, Hoilett.
Post a Comment