FULL TIME Aston Villa 0-0 Arsenal
SUB Villa wanamuingiza Marc Albrighton badala ya Andreas Weimann dakika ya 90. Aston Villa 0-0 Arsenal
DK 86:SUB Arsenal wanamuingiza Francis Coquelin badala ya Olivier Giroud zikiwa zimebaki dakika nne.Aston Villa 0-0 Arsenal
Dk 82 Villa wanalishambulia langolaArsenal lakini beki inakuwa makini
Bado Villa 0-0 Arsenal dakika ni ya 80.
Andrey Arshavin anaingia badala ya Alex Oxlade-Chamberlain.
Villa Brett Holman anapiga mpira toka Mita 25 lakini mpira unagonga mwamba . Bado Aston Villa 0-0 Arsenal
SUB Arsenal wanamuingiza Gervinho na Lukas Podolski anaenda kupumzika ikiwa ni dakika ya 70 Aston Villa 0-0 Arsena
DK 66 Mvua ikiendelea kunyesha nakusababisha wachezaji watimu zote kufanya makosa kutokanana mvua hii lakini bado Aston Villa 0-0 Arsenal.
Dk 63 nafasi nyingine tena nzuri kwa Podolski lakini shuti lake lina babatiza na kuwa kona butu
KERIM anakuwa mchezaji wa pili wa Aston Villa kutoka na kuingia Brett Holman Aston Villa 0-0 Arsenal.
Dk 61 Villa wanapata kona tatu ambazo hazikuweza kuzaa goli
Dk 5 Alex Oxlade-Chamberlain anakokota mpira toka katikati ya uwanja na kumpa pasi Ramsey ambae anapiga mpira nje
Dk 53 Villa wanapata mpira wa adhabu mita 31 hivi lakini wanashindwa kuitumia nafasi hiyo
Dk 52 bado ngomangumu huku Arsenal wakionekana kucheza mpira maridadi kabisa
Aston Villa wanamuingiza Eric Lichaj badala ya Ron Vlaar
HALF-TIME - Aston Villa 0-0 Arsenal
Kutokana na mpira wa adhabu uliopigwa na kumkuta Andreas Weimann aliyetumbukiza mpira kwenye kamba lakini kibendera kiko juu kuashiria sio goli.
Kipa Wojciech Szczesny anapewa kadi ya njano kwa kugusa mpira kwa mkono njeyaeneo lake lakujidai
Zikiwa zimebaki dakika kumi kwenda mapumziko bado milango ni migumu kwapande zote mbili zikishindwa kuzitumia nafasi wanazo pata
DK 29 Arsenal wanaliandama lango la Villa na Ramsey anapata mpira ndani ya 18 lakini shuti lake linaokolewa na msitu wa mabeki wa Villa
DK 27;Podolski anashindwa kutumbukiza kwenye kamba mpira akiwa ndani ya 18
Dk 22 Karim El Ahmadi anapewa kadi ya njano kwakumchezea Cazorla
DK 21 Oxlade-Chamberlain anapiga shuti pembeni mwa lango la Villa
DK 11 Bado mechi ni bila bila
Giroud akijaribu kumpokonya mpira beki wa Villa Vlaar
Dk 1:Aston Villa 0-0 Arsenal
Timu zitaanza na wachezaji hawa leo:
Arsenal: Szczesny, Jenkinson, Gibbs, Mertesacker,
Koscielny, Arteta, Ramsey, Cazorla, Oxlade-Chamberlain, Podolski,
Giroud.
Aston Villa team : Guzan, Vlaar, Lowton, Clark, Stevens,
Bannan, El Ahmadi, Westwood, Agbonlahor, Benteke, Weimann
Post a Comment