Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigela (kushoto) akifuatilia kwenda
'kuthibiti' kura zake zilipokuwa zikipelekwa kwenye chumba cha
kuhesabia, baada ya kura hizo kupigwa
Januari Makamba na Mwigulu Nchemba na baadhi ya wagombea wengine,
wakiwa kwenye chumba cha kuhesabia kura katika kinachoonekana kujaribu
'kulinda' kura zao. Wengine ni Vijana waliokuwa wanashughulika na
upigaji kura huo
SASA UMEKOMAA! John Shibuda wa Chadema, akimwabia Katibu wa NEC,
Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakati waki-chati ukumbini wakati wa
mkutano huo, kabla ya upigaji kura.
Picha na Daily Nloromo Blog



Post a Comment