Tanzania, imeshuka nafasi mbili toka nafasi ya 132 hadi nafasi ya sasa ya 134 katika orodha ya FIFA iliyotolewa na kupatikana mwezi huu Novemba katika website ya FIFA. Mbali na kuporomoka huko kwa nafasi mbili, Tanzania ndio inashirikia mkia kwa nchi za Afrika Mashariki , wakati Uganda ikiongoza kwa nchi za Afrika Mashariki kwa kuwa nafasi ya 86.
Mabingwa wa zamani wa soka duniani Brazil, imejikuta ikitupwa nje ya kumi bora, ambapo nafasi ya kwanza bado inaendelea kushikiriwa na Hispania. Jionee zaidi hapa chini
Orodha hizi zimenukuliwa toka www.fifa.com


Post a Comment