Kinana akihutubia katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha jana
Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Abdala Kigoda akihutubia na kuahidi kufufuliwa kwa kiwanda cha matairi General Tyre, mwakani 2013
Picha mbalimbali zilizopigwa kwa juu kuonesha eno zima la uwanja hiyo jana wakati Katibu Mkuu wa CCM alipokuwa Jijini Arusha.
WALIOKUWA MADIWANI WA CHADEMA ARUSHA NA KUVULIWA UANACHAMA WAKIMBILIA CCM; KULIPIWA GHARAMA ZA KUSHINDWA KESI
Mhe.
Mathias akitoa tamko ya kumlipia Diwani wa CHADEMA kwa jina la Rehema,
aliekuwa akidaiwa na mahakama kwa kushindwa kesi iliyokuwa inawakabili
,alitoa ahadi hiyo jana kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Jijini
Arusha
Huyu
ndie Diwani Rehema alieahidiwa kulipiwa deni alilokuwa akidaiwa na
mahakama kwa kushindwa kesi iliyokuwa inawakabili ,Mhe. Mathias alitoa
ahadi hiyo jana kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini ,Arusha.
Huyu
ni Diwani mwingine alieamua kukihama chama cha CHADEMA na kuhamia CCM
katika uwanja wa sheikh Amri Abeid Jijini ,Arusha jana. Picha zote na
maelezo: WAZALENDO 25 BLOG.
Post a Comment