| Mtumishi wa Manispaa ya Iringa Bw Msunza akiwa na familia yake mara baada ya kuhitimu katika chuo hicho cha RUCO leo wakipata taswira ya kumbukumbu ili kuweka mambo sawa. |
Umati wa wananchi waliofika katika mahafali hiyo leo wakiwa katika viwanja vya chuo cha Ruco Iringa
Wahitimu na ndugu wa wahitimu wakichagua picha zao ili kuzinunua baada ya kupigwa na wapiga picha wa kujitegemea
Soga za hapa na pale huku paparazi nao wakiwajibika Mawasiliano ya simu yakishika kasi na wenye maua wakiwa na wapendwa wao ni katika kuifanikisha shughuli hiyo
Meneja wa vipindi radio Nuru Fm Godfrey Ngulla akiwa na mkewe katika mahafali hiyo leo
Wengine inabidi watafutwe kwa simu maana hawajulikani wapo wapi wapambwe maua ,,ndivyo afanyavyo dada pichani kulia hapo simu mkononi
Ndugu jamaa na marafiki wakijumuika pamoja na wahitimu kupita kumbukumbu kwa tukio hili muhimu baada ya kulamba nondozz
Wadau wakiwa wenye furaha baada ya kula nondozz...................
Wapiga picha kama kawaida yao huwa 'fasta' hapo wahitimu wakiangalia picha zao wakati huo sherehe zikiendelea.
Baada ya shughuli ya mahafali ndugu jamaa na marafiki walipata wasaa wa kupata picha mbalimbali za kumbu kumbuili katika maeneo mbalimbali ya Chuo.
Picha kwa hisani kubwa ya Mzee wa Matukio Daima.
Post a Comment