![]() |
|
Hatimaye
yule mtoto aliyechomwa moto na mama yake amekatwa mkono wake wa kushoto
|
Picha ya jana ikionyesha mkono wa kushoto ulivyokuwa umeumia kutokana na mateso ya Mama Mdogo mpaka pale wasamaria wema walipomuokoa kutoka kwenye mateso hayo.
Mkono uliokatwa ni wa kushoto kama bandeji inavyoonekana hapo akiwa amelala
Mtoto Aneth akiwa amelala kwenye Kitanda Hospitali ya Rufaa ya Mbeya baada ya kuapatiwa matibabu
![]() |
|
Bahati Rukangara huyu ndiye aliyemchoma mtoto Janeth ambae alipelekwa Hospital ya Rufaa Mbeya na kukatwa Mkono wake . Picha na kalulunga |





Post a Comment