Shabiki ambae hakufahamika mara moja akiwa kajiaandika mwilini maandishi mbalimbali kuwatia shime wana Tanga kabla ya pambano lao na Yanga akisalimiana na mashabiki wengine kwenye mabucha barabara ya 11
Coastal Union Baba Lao ndivyo alivyoandika kifuani shabiki huyo akipozi kwa picha
Jerry Santo kiungo wa Coastal Union
Kwa tabasamu kubwa akiondoka kuelkea na hamasa yake kuwahimiza mashabiki wengine kuelekea Uwanja wa Mkwakwani kuwashangilia wagosi wa Tanga mechi iliyoisha kwa Yanga kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa bila.
Post a Comment