Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:VIONGOZI WA CHADEMA NA MADIWANI WALIOKUWA GEREZANI BUTIMBA WAACHIWA HURU LEO

 Viongozi wa Chadema na Madiwani wakipata picha ya pamoja kuunganisha nguvu zao katika tukio la kuaachiwa huru kwa baadhi yao waliokuwa wamekamatwa.
 Diwani wa Kata ya Kirumba Dan Kahungu akiwa amebebwa na wananchi toka mahakamani mpaka ofisi ya Chadema kata ya Kirumba. 
 Benson Kigaila Kiongozi wa kitaifa wa Chadema akiongea na wananchi katika ofisi wa Chadema kata ya Kirumba.
         Mwenyekiti wa Bavicha Taifa John Heche akioingea na wanazengo wa mwanza.
                                  Dan Kahungu akisema na watanzania.
                  Mbunge wa Ilemela Highness Kiwia akiongea na wananchi wake.
 John Mrema kutoka chadema Taifa akisema na wana mwanza walioandamana kutoka mahakamani mpaka ofisi ya kata ya Chadema Kirumba.
                                                            Kazi ni Kazi.
 Wananchi ambao ndo nguvu ya umma wakichapa mwendo kuelekea kwenye ofisi ya Chadema Kirumba.
                                   Hapa hata njaa hakuna anayeisikia..
              Dan Kahungu diwani wa Kirumba akiingia ofisini kwa kwa staili ya aina yake.
                                                 The Nyomizi.....
                             Tikisa ngumu, peopleeees poweeeeer.
                                            Ngumu za wanachadema.
PICHA KWA HISANI YA B PLUS BLOG
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top