 |
Beki wa Zanzibar, Nassor Masoud 'Chollo' akiondoka na mpira mbele ya kiungo wa Rwanda, Haruna Niyonzima | |
Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakishangilia baada ya Mcha kuifungia bao la kwanza hivyo kuamsha chereko kunako dakika ya 8 ya mchezo.
Picha na Kilimanjaro Premier Lager
 |
Vialli kushoto akishangilia bao lake la pili, kulia ni Suleiman Kassim 'Selembe' |
 |
Wachezaji wa Zanzibar wakishangilia bao la pili kwa staili ya kupiga kasia.Picha na Bongo Staz Blog. |
|
Zanzibar wamejihakikishia nafasi ya robo fainali baada ya kuichapa Rwanda. Wakicheza kwa taabu katika uwanja wa Namboole ambao kwa mara nyingine leo ulikuwa umejaa tope la mvua, Zanzibar walipata bao la kwanza dakika ya 8 kupitia kwa Khamis Mcha. Alikuwa ni Mcha tena katika dakika ya 62 aliepigilia msumali wa pili kabla ya Rwanda kupata bao la kufutia machozi katika dakika ya 80.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Michezo
on Thursday, November 29, 2012
Post a Comment