90:00 +1:01 Theo Walcott anapiga msumari wa mwisho hapa na ni saba - Arsenal 7 - 3 Newcastle
DK 86 Olivier Giroud anaongeza machungu zaidi kwa Newcastle - Arsenal 6 - 3 Newcastle
DK 84 Olivier Giroud anakandamiza goli la tano hapa - Arsenal 5 - 3 Newcastle
Dk 72 Theo Walcott anaipatia Arsenal goli la nne linaloonekana kama ndio la goli la ushindi- Arsenal 4 - 3 Newcastle
Dk 68 Demba Ba - Arsenal 3 - 3 Newcastle
dk 63 Lukas Podolski - Arsenal 3 - 2 Newcastle
Dk 58 Goal - Sylvain Marveaux - Arsenal 2 - 2 Newcastle
Dk 49 Alex Oxlade-Chamberlain - Arsenal 2 - 1 Newcastle
Demba Ba akiifungia timu yake goli la kusawazisha na kuwa Arsenal 1 - 1 Newcastle
Walcott akitupia kwenye kamba goli maridadi kunako dakika ya 18 Arsenal 1 - 0 Newcastle
Walcott akishangilia baaada ya kupachika goli wavuni mwa na Newcastle United hivyo kuipa goli la kuongoza Arsenal
Post a Comment