|
Balozi
Celestine Mushy (kulia), Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa
Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
akiwa katika mazungumzo na Bibi Joyce Mends-Cole, Mwakilishi mpya wa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) hapa nchini.
Bibi Mends-Cole alifika Wizarani kwa madhumuni ya kujitambulisha. |
|
Bibi Mends-Cole akizungumza na Balozi Mushy alipofika kujitambulisha. |
|
Balozi
Mushy akifurahia jambo na Bibi Mends-Cole. Mwingine katika picha ni Bi.
Ramla Khamis, Afisa Mambo ya Nje katika Idara ya Ushirikiano wa
Kimataifa. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Thursday, December 27, 2012
Post a Comment