Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe. Ummy Mwalimu akiwa
na mmoja wa watoto waliofika kumsikiliza kwenye mkutano wake wa
Kuihamasisha Jamii Kuachana na Ukeketaji kwa wakazi wa kijiji cha
Sulubi,Wilayani Tarime.Mwenye Tisheti ya mistari nyuma ni Mwenyekiti wa
Halmashauri ya Tarime,Mhe.Amosi Sagara.
Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe. Ummy Mwalimu (wa
pili kushoto) akingea na Mhe. Preira Silima Naibu Waziri Mambo ya Ndani,
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. John Henjewele na aliyesimama ni
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Mhe.Amosi Sagara.
Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Sulubi,Wilayani Tarime.
Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe. Ummy Mwalimu akiwa
katika picha ya pamoja na Mzee wa mila , Kamshina Msaidizi Mwandamizi
Adolpina Kyalo na baadhi ya akina mama wa kijiji cha Nyamwigura
waliofika katika mkutano wa hadhara kumsikliza.
Picha Hisani ya Mara Yetu Blog.
Post a Comment