Hoteli ya Double Tree, iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam, iliyofungiwa
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira) kutokana na
kushindwa kudhibiti maji machafu yanayotiririka kutoka katika Hoteli
hiyo na kumwagika Baharini bila kujali uchafuzi wa mazingira.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment